Bitcoin Forum

Local => Other languages/locations => Topic started by: Kebwesi on May 08, 2014, 07:57:21 PM



Title: Kiswahili (Afrika Mashariki)
Post by: Kebwesi on May 08, 2014, 07:57:21 PM
Hamjamboni Ndugu na Dada,

Hii ni nafasi nzuri sana ya kuweza kufuatilia kwa makini sana, kujifunza pamoja na kuchangia kwenye hii teknolojia mpya ya bitcoin. Kwa kweli inakuwa vigumu kuelewa teknolojia yote hii kwa ujumla, ila hilo halitasitisha ari yetu ya kuitumia ipasavyo kwa manufaa yetu binafsi pamoja na manufaa ya jamii kwa ujumla.

Naomba hivi, tuweze kushirikiania ili hii teknolojia iweze kusambaa Afrika Mashariki.

Shukran kwa mda wako.


Title: Re: Kiswahili (Afrika Mashariki)
Post by: Rafterman on May 11, 2015, 08:22:03 AM
hamjambo ndugu wa bitcoin.

bitcoin tenknology katika tanzania inaendeleaje?

wapi unaweza ku fanya biashara na bitcoin?


Title: Re: Kiswahili (Afrika Mashariki)
Post by: InstalTechnik on May 11, 2015, 01:32:30 PM
Hey ;)


Title: Re: Kiswahili (Afrika Mashariki)
Post by: Btree on June 27, 2015, 10:10:45 AM
welcome to bitcoin comunity :)
hamjambo ndugu wa bitcoin

i like i can see people from kiswahili can join to comunity